Majeshi ya ulinzi ya Myanmar wachoma moto nyumba 2600 za waislamu wa nchi hiyo

 Majeshi ya ulinzi ya Myanmar wachoma moto nyumba 2600 za waislamu wa nchi hiyo

Serikali ya Myanmar (Burma) imechoma moto nyumba zaidi ya 2600 za Wailamu wa Rohingya iliopo kaskazini mwa magharibi mwa nchi hiyo

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: serikali ya Myanmar imetangaza kuwa imechoma moto zaidi ya nyumba 2600 za Waislamu wa Rohingya iliopo kaskazini mwa magharibi mwa nchi hiyo.
Serikali hiyo imeyafanya hayo kwa lengo la kuwafukuza Waislamu hao wanaoishi katika mkoa wa Rakhin, katika hali hiyo mwakilishi wa umoja wa mataifa anaehusika na masuala ya wakimbizi amesema Waislamu 58600 wa Rohingya wametoroka makazi yao na kukimbilia nchini Bangladesh kutokana na vitendo vya kikatili wanavyofanyiwa na majeshi ya nchi hiyo.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky