Makumi ya magaidi wa Daesh wajisalimisha kwa majeshi ya Iraq+ Picha

Makumi ya magaidi wa Daesh wajisalimisha kwa majeshi ya Iraq+ Picha

Makumi ya magaidi wa kikundi cha kigaidi cha Daesh wajisalimisha kwa majeshi ya serikali ya Iraq katika sehemu ya Sahlul Al-malih iliopo karibu na mji wa Tal Afar nchini Iraq

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: makumi ya magaidi wa kikundi cha kigaidi cha Daaesh wajisalimisha kwa majeshi ya Iraq yaliopo katika mapambano dhidi ya kikundi hicho, karibu na mji wa Tal Afar katika mkoa wa Nineveh nchini Iraq.
Magaidi hao walikimbilia sehemu ya Sahlul Al-malih iliopo karibu na mji wa Tal Afar nchini Iraq, kwa mpande mwingine chanzo kimoja kutoka majeshi ya Iraq amesema: magaidi hao walikimbia pamoja na familia zao kutoka sehemu ya Al-ayadhia.
Majeshi ya Iraq yaletangaza rasmi kuanza mashambulizi yao ya kuukomboa mji wa Tal Afar, mji uliopo u,bali wa kilometa 65 kutoka magharibi mwa Musol, ambapo asilimia kubwa ya magaidi hao ndio waliokuwa wamekimbia mjini Musol kwenda sehemu hiyo, huku wakiitangaza sehemu ya Tal Afar kuwa ndio makao makuu ya kikundo hicho nchini Iraq.

mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky