Makundi ya magaidi ya Daesh yaamia nchini Misri

Makundi ya magaidi ya Daesh yaamia nchini Misri

Kikundi cha kigaidi cha Daesh nchini Syria chaamua kiamia nchini Misri ambapo hupita nchini Jordan baada ya hapo kuingia katika jangwa la Sinai nchini Misri

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: gaziti mmoja nchini Misri latoa habari yakwamba magaidi wa kikundi cha Daesh waingia nchini humo wakiyoka nchini Syria.
Kwa mojibu wa ripoti ya gazeti la (Youm7) la Misri wanachama wa kikundi cha kigaidi cha Daesh kutoka nchini Syria waingia nchini Misri kupitia Jordan na kuingia katika jangwa la Sinai.
Gazeti hilo limetangaza kuwa kuama kwa makundi ya kigaidi ya Daesh kwenda nchini humo, kumefanyika kwa ushirikiano wa mataifa yanayounga mkono kikundi hicho.
Gazeti hilo limeeleza kuwa kunauwezekano mkubwa kuwa magaidi hao wameamishwa kwa ndege za mizigo au ndege za kijeshi za nchi zinazopakana na Misri.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

We are All Zakzaky