Mitungi 120 ya gesi yakufanyia matukio ya kigaidi yagunduliwa mjini Barcelona Ispania

Mitungi 120 ya gesi yakufanyia matukio ya kigaidi yagunduliwa mjini Barcelona Ispania

Jeshi la Polisi la Ispania latangaza kugundua zaidi ya mitungi 120 ya gesi katika nyumba moja iliopo sehemu ya Alcanar, ambapo vikundi vya kigaidi vilikuwa vinalenga kuitumia gesi hiyo katika kufanya matukio ya kigaidi katika mji wa Barcelona

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: jeshi la Polisi nchini Ispania siku ya Jumapili limetangaza kuwa: jeshi la Polisi nchini humo limekundua ghala la mitungi ya gesi zaidi ya 120 iliokuwa katika nyumba moja mjini Barcelona, sehemu ambayo inadaiwa kuwa magaidi hujificha na kupanga mashambulio ya kigaidi nchini humo.
Kwa mujibu wa ripoti hii: kiongozi wa jeshi la Polisi katika mji wa Catalonia aliwaambia waandishi wa habari kuwa; tumefikia tija hii kuwa nyumba hii iliopo sehemu ya Alkanar, ni sehemu ambayo magaidi walikuwa wakihifadhi kemikali za miripuko kwaajili ya kufanya matukio ya kigaidi katika mji wa Barcelona.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Quds cartoon 2018
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky