Mripuko wa Bomu watokea kusini mwa Thailand na watu 21 kuuwawa na kujeruhiwa+ picha

Mripuko wa Bomu watokea kusini mwa Thailand na watu 21 kuuwawa na kujeruhiwa+ picha

Mripoko wa Bomu la kigaidi watokea nchini Thailand ambapo pikipiki liliokuwa limetegwa Bomu katika soko liliopo katika mkoa uliopo kusini mwa Thailand nakusababisha kuwawa watu watatu na wengine 18 kujeruhiwa

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: kamanda wa masuala ya ulinzi na usalama nchini Thailand ametangaza kuwa: pikipiki moja liliokuwa limetegwa Bomu, limeripuka katika soko moja liliopo katika mkoa wa Yala kusini mwa Thailand na kusababisha watu 3 kupoteza maisha na wengine 18 kujeruhiwa.
Msemaji wa wizara ya mambo ya ndani nchini Thailand: watu waovu wametegesha Bomu katika pikipiki na kuliweka pikipiki hilo katika soko moja liliopo kusoni mwa nchi hiyo, hatimaye kuliripoa, ambapo kutokana na uzito wa mripuko huo watu watatu wamepoteza maisha papohapo.
Kutokana na ripoti ziliotufikia mpaka sasa hakuna kikundi au mtu yeyete, aliyejihusisha na tukio hilo la kigaidi, mikoa ya Narathiwat, Bataniy na Yala nchini Tahailand ni makazi ya vikundi viovu vinavyotumia silaha nchini humo.

mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky