Msaidizi wa Angela Merkel nchini Ujerumani aomba kurasimishwa Uislamu nchini humo

 Msaidizi wa Angela Merkel nchini Ujerumani aomba kurasimishwa Uislamu nchini humo

Msaidizi wa kiongozi mkuu wa Ujerumani katika chama cha Democrati cha Kikristo kwa mara nyingine tena kimeomba kurasimishwa kwa dini ya Kiislamu nchini Ujerumani kama ilivyo rasimishwa dini ya Kikristo

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: hayo yamesemwa na waziri mkuu wa jimbo la North Rhine jimbo liliokuwa na wakazi wengi nchini Ujerumani kwamba: Dini ya kiislamu inapaswa itambulike Rasmi nchini humo.
Naibu wa Angela Merkel katika chama cha Democrati cha Kikristo kuwa: kwa hakika tutafurahi sana endapo tukaona Merkel akashirikiana nasi katika juhudu za kulifikia lengo hili ambapo waislamu nao wakawa Rasmi kama Wakristo nchini humo.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky