Mtu mmoja akamatwa kufuata jaribio lake la kuchoma moto Kaaba tukufu

Mtu mmoja akamatwa kufuata jaribio lake la kuchoma moto Kaaba tukufu

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: mtu mmoja akamatwa na polisi wa Saudi Arabia alipokuwa akifanya juhudi zinazosadikiwa kuwa alikuwa na lengo la kuchoma moto kaaba tukufu, ambapo alianza kumwagia mafuta kitambaa cheosi cha kaaba katika Masjidil Haram katika mji wa Makka nchini Saudi Arabia, huku taarifa zinaonyesha kuwa mtu huyo aliokuwa amekusudia kuafnya tukio hilo alikuwa na upungufu wa akili, kwa upande mwinge waumini walikuwepo sehemu ya tukio wametaka anyongwe haraka iwezekanavyo.


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky