Mwakilishi wa Ayatullah Sistani aonana na majeshi ya Iraq mjini Tal Afar+ picha

Mwakilishi wa Ayatullah Sistani aonana na majeshi ya Iraq mjini Tal Afar+ picha

Mwakilishi wa kiongozi mkuu wa dini nchini Iraq (Ayatullah Sistani) ametembelea maeneo ya mapambano dhidi ya vikundi vya kigaidi vya Daesh katika mji wa Tal Afar na kufanikiwa kufaongea na majeshi ya Iraq yaliopo katika mapambano katika sehemu hiyo

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: Sayed Ahmad Safiy, mwakilishi wa kiongozi mkuu wa mashia wa wa Iraq “Ayatullah Sistani” amewatembelea wanajeshi wa Iarq waliopo katika viwanja vya mapambano katika mji wa Tal Afar dhidi ya kikundi cha kigaidi cha Daesh nchini humo, ambapo alikutana na wanajeshi hao na kuwapa moyo kuhusu jambo zito wanalofanya la kujitolea kwao katika kukabiliana na kikundi cha kigaidi cha Daesh nchini humo.
Aidha mwakilishi huyo katika vikosi alivyoonana navyo ni kikosi cha wapiganaji wa Abbasi na kikosi cha wapiganaji wa Ali Akbar waliopo katika mapambano na katika mji wa Tal Afar.


mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky