Ndege za Saudi Arabia zashambulia mazishi ya Saleh Sammad+ picha

Ndege za Saudi Arabia zashambulia mazishi ya Saleh Sammad+ picha

Ndege za mjeshi vamizi yta Saudi Arabi yamefanya shambulizi pembeni ya maidani ya Sabiini na kusababihswa kuuwawa kwa mwananchi mmoja na wengine kujeruhiwa

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: kufuatia shambulio liliofanywa na ndege za kivamizi za Saudi Arabia dhidi ya mazishi ya mwili Saleh Sammad ambaye alikuwa mkuu wa shura ya masuala ya kisiasa nchini Yemen.
Kwa mujibu wa ripoti ya vyombo vya habari vya kiarabu, shambulio la ndege za kivita za Saudi Arabia pimbeni mwa midani ya Sabiin nchini humo na kusababisha kuuwawa kwa mtu mmoja na wengine wengi kujeruhiwa.
Asubuhi ya leo mamia ya wananchi na viongozi wa Yemen walijitokeza kushiriki mazishi ya ambapo walikusanyika katika kiwanja cha Sabiin kiliopo katika mji mkuu wa Yemen Sana`a.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky