Netanyahu amshukuru Trump kwa kuiwekea vikwazo Iran

Netanyahu amshukuru Trump kwa kuiwekea vikwazo Iran

Waziri mkuu wa utawala haramu wa Israel amemshukuru Rais wa Marekani kwa kuvirejesha vikwazo dhidi ya serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

Shirika la ahabari AhlulBayt (a.s) ABNA: benjamin Netanyahu waziri mkuu wa utawala haramu wa Israel amesema katika maelezo yake amemshukuru Donald Trump “Rais wa serikali ya Marekani” kwa kuvirejesha vikwazo dhidi ya serikali ya Kiislamu ya Iran
Aidha waziri mkuu huyo amedai kuwa vikwazo vya awali alivyowekewa Iran imesababisha kushuka kwa tahamani ya pesa ya Iran, huku akiendelea kusema kuwa maamuzi ya Rais Trump kuhusu hatua ya kihistoria alioichukuwa dhidi ya Iran, inapaswa kupongezwa.
Serikali ya Marekani katika masiku ya hivi karibuni imekiuka makubaliano 2231 la balaza usalama wa kimataifa, pia kuvunja makubaliano ya mpango wa Iran, imeamua kuweka vikwazo vya upande mmoja dhidi ya utawala wa Teheran.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky