Netanyahu: Haturuhusu majeshi ya Iran yaendelee kubaki nchini Syria

Netanyahu: Haturuhusu majeshi ya Iran yaendelee kubaki nchini Syria

Waziri mkuu wa serikali ya Kizayu ya Israel amesema: Tel Aviv haitaendelea kuruhu majeshi ya Iran kuendelee kubaki nchini Syria

Shirikia la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: hayo yamesemwa na Benjamin Netanyahu “waziri mkuu wa utawala haramu wa Israel” kuwa Tel Aviv haiko tayari kuendelea kuona majeshi ya Iran yanaendelea kubaki nchini Syria na  kuongeza nguvu nchini humo.
Aidha Netanyahu ameongeza kusema kuwa: Iran ambayo lengo lake ni kuangamiza Israel, hivyo basi Israel haitairuhusu Iran kufanikisha mpango wake wa kutengeneza silaha za nyuklia.
Kadhalika amedai kuwa kamwe hatutairuhusu Iran ifikie lengo lake la kuiangamiza Israel, hivyo hatukubali kuyaacha majeshi ya Iran yakiendelea kuwepo nchini  Syria.
Inasemekana kuwa vyombo vya habari siku ya Jumamosi  imesikika nasauti ya miripuko mizito katika mji mkuu wa Syria, ambapo ndege za kivita za Israel zilikuwa zikiwa zinafanya mashambulizi katika sehemu ya Homeh ya kusini mwa mji mkuu huo.
Kwa upande mwingine, baadhi ya vyombo vya habari vimeeleza kuwa makombora hayo yalipigwa kutoka maeneo ya Palestina yaliotekwa  na utawala wa kizayuni wa Israel, huku ikibainishwa kuwa lengo kubwa  la utawala wa kizayuni wa Israel ni kuangamiza silaha za  majesi ya utawala wa Syria iliopo katika maeneo yalikuwa yameshambuliwa.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Arba'een
Mourining of Imam Hossein
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky