Qatar: tuhuma zote za Misri dhidi ya serikali hiyo hazina mashiko

Qatar: tuhuma zote za Misri dhidi ya serikali hiyo hazina mashiko

Ripoti za kamati ya usalama ilikaa kikao maalumu kujadili suala la Qatar ambacho kilizungumzia suala la kukiuka maazimio na msinngi ya kamati ya usalama, ambapo imetoka akipinga madai yote yaliukuwa yametolewa na Misri

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: naibu wa mwakilishi wa Qatar katika jumuia ya umoja wa mataifa amesema katika jumuia hiyo kuwa: tuhuma ziliotolewa na serikali ya Misri dhidi ya utawala wa Qatar, hazina msingi na mashiko.
Aidha “Abdulrahmani Yakubu Al-hamadiy” amesema: ripoti iliotolewa na kamati husika katika kamati ya usalama kuhusu ukiukaji wa Qatar katika kufuata maazimio ya kamati ya usalama ya kimataifa katika kupamnana na ugaidi, ambapo kamati hiyo baada ya kikao chake hicho, ripoti yake hakijaeleza chochote kuhusu madai ya Misri ya kwamba Qatar imekiuka misingi ya kamati hiyo.
Naye ameashiria suala la Qatar akisema: juhudi za Qatar katika kupambana na ugaidi, zilikuwa chini ya mipaka na mashrti ya kamati ya usalama na jumuia ya umoja wa mtaifa, huku akibainisha kuwa madai yote yanayoashiria kwamba Qatar ilikuwa na mawasiliano na vikundi vya kigaidi, ni madai yanayolenga kuichafua serekali hiyo na nimambo yasiokuwa na mashiko na vielelezo kamili.
Naibu mwakili wa Qatar katika jumuia ya umoja wa mataifa ametangaza kuwa: tuhuma kama hizo hutolewa na watu wasiokuwa wanafuata sheria ambao wako dhidi ya serikali ya Qatar, ambao wao ndio wanaotoa misaada kwa vikundi vya kigaidi kwa wazi.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky