Rais wa Urusi apanga atangaza safari yake nchini Iran

Rais wa Urusi apanga atangaza safari yake nchini Iran

Habari kutoka ikulu ya Urusi zinasema kuwa Rais wa Jamhuri ya Urusi mwaka huu atasafiri kwenda nchini Iran

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: shirika la habari la Urusi limetangaza kutoka ikulu ya nchi hiyo kwamba Rais wa nchi hiyo atasafiri kwa ziayara fupi nchini Iran.
Kwa mujibu wa ripoti hii ni kwamba mshauri wa Rais wa Urusi amesema kuwa Rais wa nchi hiyo ameazimia kwenda nchini Iran ambapo itakuwa mwishoni mwa mwaka huu wa 2017.
Msahuri huyo ameendelea kubainisha kuwa safari ya Rais huyo nchini Iran, atashiriki mkutano wa nchi tatu, Iran, Urusi na Azarbaijan ambapo itafanyika nchini Iran.
Vladimir Putin alisafiri kwenda nchini Iran mnamo mwaka 2015 alipokuwa ameshiriki katika mkutano wa mataifa yanayozalisha Gesi ulimwenguni ambapo ulifanyika nchini Iran, ambapo pia alikutana nakiongozi muadhamu wa mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky