Rais wa Uturuki aandaa safari yakwenda Iran

Rais wa Uturuki aandaa safari yakwenda Iran

Rais wa Jamhuri ya Uturuki tarehe 11 mwezi wa tisa atakuwa na safari ya kwenda nchini Iran akiwa pamoja na viongozi wakuu wa nchi hiyo

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: baadhi ya vyombo vya habari nchini Uturuki vimeeneza taarifa ya safari ya Rais wa nchi hiyo itakayokuwa hivi karibuni katika jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kuona na Rais wa Iran mjini Teheran.
Kwa mujibu wa taarifa hizo Rais wa Jamhuri ya Uturuki atakwenda nchini Iran mnamo tarehe 11 ya mwezi wa tisa mwaka huu akiwa pamoja na jopo la baadhi ya viongozi wa nchi hiyo.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Quds cartoon 2018
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky