Sayed Hasan Nasrullah apigiwa kura nchini Ufaransa + picha

Sayed Hasan Nasrullah apigiwa kura nchini Ufaransa + picha

Mpigakura mmoja alioshiriki kupiga kura katika uchaguzi wa Rais wa Ufaransa baada ya kuandika alama ya kosa katika jina la mgombea urais wa nchi hiyo, aliandika jina la Sayed Hasan Nasrullah “kiongozi kikundi cha Hizbulla Lebano” katika karatasi hilo la kupiga kura.

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: watumiaji wa mitandao ya kijamii katika muda ambao uchaguzi bado unaendelea katika kumtafuta Rais atakaye iongoza Ufaransa, ilisambazwa picha inayoonyesha karatasi moja ya kupigia kura imeandikwa jina la Sayed Hasan Nasrullah wa Lebanon.
Katika picha hiyo imeonyesha kuwa mpiga kura huyo wa kifaransa kwanza aliweka alama ya kosa katika jina la Marine Le Pen liliokuwa katika karatasi hilo la kupiga kura kisha akaandika jina la Sayed Hasan Nasrulla katika karatasi hilo.
Uchaguzi huo wa kumtafuta Rais wa nchi hiyo umekamilika kwa ushindi wa Emmanuel Macron kwa kupata asilimia 65 za kura zilohesabiwa na kumshinda mpinzani wake ambaye kwa kupata asilimia 34 ya kura hizo, hivyo basi Emmanuel Macron kuchukua nafasi ya uraisi wa Ufaransa akiwa na umri wa miaka 39 akiwa ndiye Rais kijana zaidi kuliko marais wote waliokuwa wameiongoza Ufaransa.  

mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky