Sheikh wa kisunni wa Afrika ya kusini ajiunga na madhehebu ya shia akiwa na waumini wake 121+ حهزاش

Sheikh wa kisunni wa Afrika ya kusini ajiunga na madhehebu ya shia akiwa na waumini wake 121+ حهزاش

Mwanazuoni mkubwa wa madhehebu ya Kisunni kutoka mji wa Port Elizabeth nchini Afrika ya Kusini ambaye alikuwa amesoma kwa muda wa miaka 8 katika chuo kikuu cha Azhar nchini Misri na mwaka mmoja mjini Makkah amejiunga na madhehebu ya Shia akiwa na waumini wake 121

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: mwanazuoni mmoja wa madhehebu Kisunni nchini Afrika ya kusini amejiunga na madhehebu ya haki ya Shia akiambatana na waumini wake 121.
Kwa mujibu wa ripoti hii “Ibrahim Muhammad” ambaye ni katika sheikh wakubwa nchini Afrika ya Kusini katika mji wa Port Elizabeth  ambaye alisoma mika 8 katika chuo cha kusomea usheikh nchini Misri “Azhar Saharif” na mwaka katika mji mtakatifu wa Makka, amejiunga na madhehebu ya Ushia nchini humo.
Sheikh Ibrahim Mummad ni miaka 20 alikuwa Imam wa Ijumaa na jamaa kwa waislamu wa mji wa  Port Elizabeth nchini humo.
Aidha aliwasili katika msiti wa Imam Husein katika mji wa Durban nchini Afrika na baada ya kuonana na Imam wa huo wa kishia, sheikh huyo alipewa nafasi ya kuongea mawili matatu kwa waliokuwa katika msikiti huo.


mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Quds cartoon 2018
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky