kwa mara ya kwanza

Shura ya dini nchini Urusi imezuia mawahabi kufanya harajati nchini humo

Shura ya dini nchini Urusi imezuia mawahabi kufanya harajati nchini humo

Shura ya Dini na usimamizi wa wanazuoni nchini Urusi kwa mara ya kwanza imepitisha kuzuiliwa kwa madhehebu ya kigaidi ya Uwahabi (Masalafi) kufanya harakati zao ndani ya nchi hiyo

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: mmoja kati ya wataalamu wa masuala ya Urusi, ameridhishwa na uamuzi wa shura ya masuala ya Dini nchini humu kwa kuzuia harakati za kikundi cha Mawahabi katika taifa hilo.
Mufti mkuu wa Urusi na mwenyekiti wa Maulamaa na waislamu nchini amesema katika kikao kilichofanywa miongoni mwa wanazuoni wa nchi hiyo, amesisitiza kuzuia kwa harakati za kidini za kikundi cha Mawahabi nchini humo.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky