Ufaransa, Ujerumani na Uingereza zimetoa kauli ya pamoja kunako muafaka wa nyuklia ya Iran

Ufaransa, Ujerumani na Uingereza zimetoa kauli ya pamoja kunako muafaka wa nyuklia ya Iran

Ufaransa, Ujerumani na Uingereza zimetoa kauli ya pamoja na kutangaza kuwa wanahifadhi makubaliano ya mpango wa nyuklia wa Iran katika kuhifadhi mafaniko ya mataifa hayo

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: kufuatia hutuba ya Rais wa Marekani dhidi ya Iran kunako makubaliano ya mpango wa nyuklia ya Iran, Ufaransa, Ujerumani na Uingereza zimetoa kauli yake ya pamoja katika kuyahami makubaliano ya mpango wa nyuklia wa Iran nchi hizo zimetangaza kuwa, kuyalinda makubaliano ya mpango wa nyuklia wa Iran ni moja katika njia ya kulinda manufaa ya nchi hiyo.
Donald Trump “Rais wa jamhuri ya Marekani” ilitoa hutuba kuhusu jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema kuwa taifa letu halitashikamana na makubaliano ya mpango wa nyuklia wa Iran.
Federica Moghirini kiongozi wa siasa za nje katika umoja wa Ulaya akipinga kauli ya Trump kuhusu suala la makubaliano ya nyuklia amesema: kwa upande wa umoja wa Ulaya bilashaka ikowazi na tumeshasema kwa wazi kuwa Makubaliano ya mpango wa nyuklia wa Iran daima tutauhami na utaendelea kubaki kama tulivyo kubaliana.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky