Ujerumani: tunapambana kwaajili ya kuihifadhi mpango wa Nyuklia wa Iran

Ujerumani: tunapambana kwaajili ya kuihifadhi mpango wa Nyuklia wa Iran

Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani ameonyesha masikitiko yake kunako hatima ya hatua zinazochukuliwa dhidi ya Iran kupitia Marekani na uwezekano wa kushadidi kwa marumbano katika ukanda wamashariki ya kati, huku akisisitiza kuwa kuvunja makubaliano ya mpango wa Nyuklia kwa wa Marekani ni kosa kubwa sana

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani amesisitiza udharura na umuhimu wa kuhifadhi makubaliano ya mpango wa Nyuklia wa Iran na kusema kuwa tunapambana kwaajili ya kubaki na kuhifadhi makubaliano hayo, kwa sababu kwamba naamini kuwa hayo ni makubaliano ya kimataifa yenye manufaa nasi kadhalika manufaa ya amani na usalama wa ukanda wa mashariki ya kati.
Aidha aliyasema hayo alipokuwa anafanya mahojiano na Gazeti la Ujerumani na kudhihirisha kuwa, kuwepo makubaliano na mkataba na Iran ni bora kuliko kuwanao.
Aliendelea kuonyesha ameonyesha masikitiko yake kunako hatima ya hatua zinazochukuliwa dhidi ya Iran kupitia Marekani na uwezekano wa kushadidi kwa marumbano katika ukanda wamashariki ya kati, huku akisisitiza kuwa kuvunja makubaliano ya mpango wa Nyuklia kwa wa Marekani ni kosa kubwa sana.
Aidha alibainisha kuwa Iran kwa kiasi fulani ni jirani wa bala la Ulaya kwa sababu hiyo amani na usalama wa nchi hiyo ni jambo la muhimu kwa bala la Ulaya, hivyo tunalazimika kuhakikisha amani inapatika katika sehemu hiii.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

We are All Zakzaky