Umoja wa mataifa yaitahadharisha Marekani kuhusu vikwazo vipya dhidi ya Iran

Umoja wa mataifa yaitahadharisha Marekani kuhusu vikwazo vipya dhidi ya Iran

Naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa katika mambo ya misaada ya kibinadamu na kufikisha misaada hiyo ya dharura kwa walengwa amesema na kuitahadharisha Marekani kuhusu tija mbaya ya kuiwekea vikwazo dhidi ya Serikali ya Iran

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: hayo yamesemwa na naibu msaidizi wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya misaada ya kibinadamu, ameitahadharisha Marekani kuhusu tija mbaya itakayo sababishwa na kuiwekea vikwazo serikali ya Iran, kwani kuna harakati kubwa zinaidi baina ya Iran na Afghanistan kadhalika katika maeneo mengine mbalimbali.
Aidha ameongeza kusema kuwa, tumeshuhudia wakimbizi wengi ambao kwa muda mrefu walikuwa wakiishi Iran, ama hivi karibuni wamekuwa wakitoka nchini humo kwenda Uturuki na hatimaye kuingia katika mataifa ya Ulaya, ambapo kama vitashadidishwa vikwazo dhidi ya Iran kutaathiri zaidi wakimbizi waliopo nchini humo na kusambaratika kwenda sehemu mbalimbali duniani.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky