Umoja wa Ulaya: tutaakikisha tunatekeleza ipasavyo mpango wa Nyuklia wa Iran

Umoja wa Ulaya: tutaakikisha tunatekeleza ipasavyo mpango wa Nyuklia wa Iran

Msemaji mkuu na msimamizi wa siasa za kimataifa katika umoja wa Ulaya amesisitiza kuwa umoja huo umeahidi kutekeleza kikamilifu huku akidai kuwa kutekeleza kwa makubaliano hayo kuteleta athari nzuri duniani

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: msemaji na msimamizi wa masuala ya siasa za mambo ya nje katika umoja wa Ulaya siku ya Jumatatu ya mwezi huu kuwa wataendelea kushikamana na makubaliano ya mpango wa Nyuklia wa Iran huku akiashiria mafanikio yatakayoapatika kwa kutekeleza mpango huo.
Aidha amesema sisi umoja wa Ulaya tunaahidi kutekeleza kikamilifu makubaliano ya nymbango wa Nyuklia, kwa sababu kwamba mpango huu iwapo utatekelezwa kikamilifu usalama wa Umoja wa Ulaya utapatikana na alkadhalika kwa mataifa yote ulimwenguni.
Kwa upande mwingine alisema: umoja wa Ulaya pamoja na washirika wake tumetenga bajeti inayotosheleza kuhifadhi makubaliano hayo na bila shaka tutaendeleza kusimama kidete kuakikisha makubaliano hayo yanatekelezwa.
Umoja wa Ulaya na viongozi wake walipinga vikali kutoka kwa Marekani katika makubaliano ya mpango wa Nyuklia wa Iran, ambapo Ulaya itaendelea kusimamia utekelezaji wa mpango haya pamoja na Iran na washiriki wa makubaliano hayo.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky