Umoja wa Ulaya waukosoa vikali serikali ya Myanmar kuhusu siasa yake dhi ya Waislamu

Umoja wa Ulaya waukosoa vikali serikali ya Myanmar kuhusu siasa yake dhi ya Waislamu

Mmoja katika viongozi wa Umoja wa Ulaya akikemea hali halisi ya waislamu waliokuwa nayo katika nchi ya Myanmar inayosababishwa na serikali ya nchi hiyo, amapo kiongozi huyo ameitaka serikali hiyo kutoa ruhusa kwa jumuia za misaada ya kibinadamu kuwasilisha misaada yao katika sehemu hizo ziliokuwa na hali mbaya

Shirka la habari AhlulaBayt (a.s) ABNA: akipinga dhulma wanayofanyiwa waislamu wa Rohingya kutoka kwa serikali ya nchi hiyo ikiwemo kuzuia jumuia za misaada ya kibinadamu za kimataifa na chama cha msalaba mwekundu kufikisha misaada katika sehemu hiyo.
Kiongozi huyo amepinga vikali mwenendo wa serikali hiyo na kuitaka atoe ruhusa haraka iwezekanavyo ili misaada ya kibinadamu kufikisha misaada yao katika maeneo hayo bila ya mipaka.
Hali ya sehemu hiyo imechafuka toka mwezi Octoba mwaka uliopita, ambapo machafuko hayo yamepelekea kukosa makazi kwa waislamu laki moja ambao ni wakazi wa wilaya ya Rahin na kukimbilia sehemu mbalimbali ikwemo nchini Bangladesh.
Msafara wa makilishi wa umoja wa Ulaya hivi karibuni nchini humo, ulikuwa na lengo kuangalia maeneo yaliathirika kufuatua mapingano hayo, ama pamoja yakuwa walifanya mawasilaino na serikali ya nchi hiyo, lakini hawakuruhusiwa kufika sehemu zote zeliokuwa zimeathirika na machafuko hayo, hivyo kiongozi huyo ametanga hali ya waislamu wa sehemu kuwa ni mbaya kutokana na ukatili wa wafuasi wa dini ya Buddha dhidi ya waislamu.
Muakilishi huyo amesema alipokuwa anafanya maojiano na vyombo vya habari kuwa: mpaka sasa kunamatatizo mbalimbali inayohusu kushindikana  kufikisha misaada ya kibinadamu katika wilaya ya Rahin na maeneo mengine nchini humo.
Inasemeka kuwa umoja wa Ulaya umepitisha msaada wa Euro milioni 800 kusaidiwa nchi ya Myanmar, ambapo kama zitatolewa pesa hizo, basi Mnyammar itakuwa ni nchi ya pili ya kupewa msaada mkubwa ya umoja huo baada ya Afghanistan.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Quds cartoon 2018
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky