Urusi, Iran na Uturuki zatia saini makubaliano ya amani Syria

Urusi, Iran na Uturuki zatia saini makubaliano ya amani Syria

serikali za Urusi , Uturuki na Iran zimetia saini leo taarifa ya kumbukumbu juu ya kuunda maeneo salama nchini Syria , wakati wajumbe wa makundi ya magaidi wanaodhaminiwa na Marekani nchini Syria walitoka nje na kutoa matamshi ya hasira,

Shirika la habari la ABNA linaripoti kuwa: serikali za Urusi , Uturuki na Iran zimetia saini leo taarifa ya kumbukumbu juu ya kuunda maeneo salama nchini Syria , wakati wajumbe wa makundi ya magaidi wanaodhaminiwa na Marekani nchini Syria walitoka nje na kutoa matamshi ya hasira, baada ya duru hiyo mpya ya mazungumzo ya amani katika mji mkuu wa Kazakhstan, Astana. Urusi, Uturuki na Iran zinachukua nafasi ya wadhamini wa mchakato wa mazungumzo hayo ya amani ya Astana.Waziri wa mambo ya kigeni wa Kazakhstan Kairat Abdrakhmanov amesema kwamba mazungumzo yajayo ya amani ya Syria huenda yakafanyika Astana katikati ya Julai. Wakati huo huo mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kwa Syria Staffan De Mistura amesifu leo mpango wa kuunda maeneo salama nchini Syria na kusema ni hatua kuelekea katika njia sahihi ya kuzuia uhasama wa vita vinavyochochewa na Marekani na washirika wake.

Mwisho wa habari / 291

 

 


Taarifa zinazohusiana

Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky