Urusi: kitu chochote cha Marekani kikionekana katika anga la Syria kitasambaratishwa na majeshi ya Urusi

Urusi: kitu chochote cha Marekani kikionekana katika anga la Syria kitasambaratishwa na majeshi ya Urusi

Serikali ya Urusi ktika kauli yake iliokuwa ikizungumzia kuangushwa kwa ndege ya Syria, na majeshi ya umoja unaodaiwa wakupambana na magaidi nchini ukisimamiwa na Marekani, ambapo majeshi ya Urusi imesema kuwa itakata fungamano lake la kijeshi baina yake na Marekani, huku Urusi ikitishia kusambaratisha kitu chochote cha Marekani kitakachoonekana katika anga la Syria

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: wizara ya mambo ya nje ya Urusi katika kauli yake imetangaza kukata mawasiliano na Marekani katika maeneo vilopo vifaa vya kivita vya Urusi, huku wakisistiza kuwa kito chochote cha majeshi ya Marekani kitakachoonekana katika anga la Syria watakisambaratisha ambapo majeshi ya anga na chini ya Urusi yatafanya kazi hiyo.
Aidha wizara hiyo imetangaza kuwa: leo tarehe 19 mwezi wa 6, Urusi imevunja makubaliano yote yaliokuwa yamekuwa yameafikiwa na serikali ya Marekani iliokuwa na lengo la kuzuia kutokea matukio mbalimbali nchini humo katika kuleta usalama nchini Syria, huku wizra hiyo ikataka kufanyika uchumguzi wakina kwa makamanda wa majeshi ya Marekani na tija ya uhakiki huo kuwasilishwa kwa makamanda wa majeshi ya Urusi hatimaye kuchukua maamuzi kutokana na ripoti ya uhakiki huo.
Ndege moja ya majeshi ya Syria imeangushwa katika sehemu ya Risafeh kilometa 30 ya mashariki mwa mji wa Raqqa nchini Syria jambo ambalo limefanywa na majeshi ya Marekani yanayodaiwa kuwa yanapambana na magaidi.

mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky