Utawla haramu wa kizayuni yatangaza mpangu wa kujenga nyumba 300 katika maeneo ya Qudsi

Utawla haramu wa kizayuni yatangaza mpangu wa kujenga nyumba 300 katika maeneo ya Qudsi

Vyombo vya habari vya kizayuni wametanga mpango wa utawala huo wa kujenga nyumba 300 kinyume na sheria katika ardhi za wapalestina

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: Vyombo vya habari vya kizayuni wanetanga\a mpango wa utawala huo wa kujenga nyumba 300 kinyume na sheria katika ardhi za wapalestina, habari ambazo zimeelezwa na waziri wa nyumba na makzi katika serikali hiyo ya kizayuni.
Televishen namba kumi ya utawala wa kizayuni imeutangaza mpango huo kuwa ni baadhi ya mipango ya ujenzi alioita kuwa (mpango wa kuijenga Jerusalem kubwa) huku akisisitiza kuwa lengo la mpango huo ni kuongeza ujenzi wa majumba katika maeneo ya Wapalestina (Quds).
Kwa mujibu wa maelezo ya vyombo vya habari hivyo ni kwamba: nyumba hizo zitajengwa katika maeneo mingine kinyume na yale yaliokuwa yameporwa mnamo mwaka 1967.
Wizara ya mambo ya nje ya Palestina imetoa kauli ya kwamba, mpango uliotangazwa wazayuni unatokana na tija ya maamuzi ya Rais wa Marekani alioyatoa dhidi ya Palestina.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky