Uturuki yaufukuza ubalozio wa Israel nchi mwake

  Uturuki yaufukuza ubalozio wa Israel nchi mwake

Kufuatia mauaji ya kinyama yanayofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina siku ya Jumatatu, ambapo wezara ya mambo ya nje ya nchi hiyo ilimuita balozi huyo kisha kumtaka aondoke nchini humo

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: hayo yamefanyika Kufuatia mauaji ya siku ya Jumatatu ambapo utawala haramu wa Israel ulifanya mauaji ya kinyama dhidi ya wananchi wa Palestina, ambapo wezara ya mambo ya nje ya nchi hiyo ilimuita balozi wa Israel kisha kumtaka aondoke nchini humo kutokana na vitendo vibaya wanavyo wafanyia Wapalestina.
Siku ya Jumatatu majeshi ya utawala haramu wa Israel yalifanya mashambulizi makali dhidi ya Wapalestina katika ukanda wa Gaza, jambo liliopelekea wizara ya mambo ya nje ya Uturuki siku ya Jumanne ilimuita Balozi huyo kisha kumtaka aondoke nchini humo.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky