Waislamu waliozuiliwa kuingia nchini Marekani

Waislamu waliozuiliwa kuingia nchini Marekani

Chapa iliofanyiwa marekebisho ya amri ya rais wa Marekani (Donal Trump) inayohusu kuzuiliwa kwa watu wa nchi 5 waliokuwa na idadi kubwa nchini Marekani kuingia nchini humo ikiwemo nchi ya Iran, Yemen, Syria, Somalia na Sudani ambapo hawapaswi kuingia nchini humo

Shirika la Habari AhlulBayt (a.s) ABNA: marekebisho na kupitiwa upya kwa amri hiyo ya kuzuiliwa kwa wananchi wa mataifa 5 kuingia nchini Marekani imeanza kutumika siku ya Alhamisi kuanzia saa nne usiku kwa masaa ya nchi hiyo.
 Chapa iliofanyiwa marekebisho ya amri ya rais wa Marekani (Donal Trump) inayohusu kuzuiliwa watu wa mataifa 5 waliokuwa na idadi kubwa nchini Marekani, hwapaswi kuingia nchini humo ikiwemo nchi ya Iran, Yemen, Syria, Somalia na Sudani, ambapo amri hiyo imeanza kutekelezwa kuanzia saanne usiku ya Alhamisi ya jana kwa mujibu wa nyakati za marekani.
Televishen ya CNN katika ripoti zake imetangaza kuwa: kwa mujibu wa amri iliotolewa na rais wa Marekani kwamba katika utekelezwaji wa amri hiyo kuna mabadiriko yaliopatikana katika sheria hiyo ambayo kwamba, kama mtu atakuwa na vielelzo vinavyo ashiria kuwa ana ndugu au mtu wa karibu anaishi nchini Marekani kama vile mke au mume, basi haitamuhusu sheria hiyo, mwengine yule atakayepata mwaliko rasmi wa taasisi binafsi, shule au kampuni hao wote haitawahusu sheria ya kuzuiliwa kwa wananchi wa nchi 5 za kiislamu, hivyo basi wananchi wa hizo tano ambazo ni Libya, Syria, Iran, Somalia, Yemen na Sudani hawataruhusiwa kuingia nchini Marekani kwa muda wa siku 90 na wakimbizi wa nchi zote wanaokusudia kukimbilia nchini Marekani hawaruhusiwi kuingia nchini humo kwa muda wa siku 120.

mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Quds cartoon 2018
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky