Wanajeshi 30 wa Saudi Arabia wauliwa na majeshi ya Yemen

Wanajeshi 30 wa Saudi Arabia wauliwa na majeshi ya Yemen

Zaidi ya wanajeshi 76 wa Saudi Arabia wauwawa na kujiruhiwa katika mashambulizi yaliotokea kjati yao na wanajeshi wa Yemen

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: shirika a habari la Almasirah katika ripoti zake limetanga kuwa: kwa mujibu wa ripoti kutoka katika vyanzo vyao na mitandao ya kijamii ya Saudi Arabia ni kwamba wanajeshi 76 wa Saudi Arabia wameuwawa na kujeruhiwa katika mapambano yaliotokea mwezi juni mwaka huu.
Kwa mujibu wa Ripoti hii ni kwamba shirika la habari la Saudi Arabia na yale yalioelezwa katika mitandao ya kijamii ya Saudi Arabia vimetangaza kuwa zaidi ya wanajeshi 30 wa Saudi Arabia wamekufa kusini mwa Saudi Arabia, ambapo serikali ya Saudi Arabia imethibitisha kufa kwa wanajeshi 27 kati yao.
Aidha idadi ya waliojeruhiwa katika kipindi cha mapigano hayo yani mwanzoni mwa mwezi juni mpaka tarehe 30 ya mwaka huu nchini humo.
Huku televishen ya Almasirah imetoa ripoti hii kuwa serikali ya Saudi Arabia imeamua kuweka mpango maalumu utakao sababisha kupunza kufa zaid kwa majeshi yake na kuwatanguliza wanajeshi wa Sudan na mataifa mengine katika eneo hilo la kusini mwa Yemen na kukwepa hasara mauaji ya wanajeshi wa Saudi Arabia nchini humo.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky