Wanajeshi wawili wa Uturuki wauwawa katika na kikundi cha kigaidi cha PKK

Wanajeshi wawili wa Uturuki wauwawa katika na kikundi cha kigaidi cha PKK

Wanajeshi wawili wa jeshi la Uturuki wameuwawa kufuatia mapambano makali baina ya majeshi ya nchi hiyo na kikundi cha kigaidi cha PKK katika mkoa wa Diyarbakir mashariki mwa nchi hiyo

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: vyombo vya habari vya Uturuki vyatangaza kutokea mapegano makali nchini humo, baina ya kikundi cha kigaidi cha PKK na majeshi ya serikali ya Uturuki
Chanzo kimoja cha kijeshi nchini humo kimetangaza siku ya Jumapili kuwa; wanajeshi wawili wa nchi hiyo wamekufa kufuatia mapigano yaliotokea pamona na kikundi cha Pkk katika sehemu ya Village katika mkoa wa Diyarbakir mashariki mwa nchi hiyo.
Kwa mujibu wa ripoti hii ni kwamba katika mapigano hayo pia magaidi watatu wa kikundi cha kigaidi cha PKK wamekufa nchini humo.
Wanajeshi wawili wa Uturuki walijeruhiwa mwanzo wa mapigano hayo baada ya kupigwa risasi na snaipa wa kikundi cha kigaidi cha PKK, ambapo majaraha ya risasi hizo yalikuwa makubwa sana na baada muda kadhaa kufariki katika hospitali nchini humo.
Majeshi ya Uturuki mpaka sasa takriban ni wiki mbili zimepita toka kuanza kwa mashambulio makubwa dhidi ya kikundi cha kigaidi cha PKK katika sehemu za kijiji kiliopo kati ya mji wa Village katika mkoa wa  Diyarbakir na mji wa Genc uliopo katika mkoa wa Bingol nchini humo.
Viongozi wa mkoa wa Bingul nchini Uturuki wametangaza utawla wa kijeshi katika mkoa huo kutokana na kushadidi kwa mapambano baina ya majeshi ya Uturuki na kikundi cha kigaidi cha Pkk.

mwisho wa Habari/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky