Wananchi wa Al-Awamiyah waondoshwa sehemu hiyo kwa lazima

Wananchi wa Al-Awamiyah waondoshwa sehemu hiyo kwa lazima

Viongozi wa serikali ya Saudi Saudi wameanza kuchukua siasa ya vitisho dhidi ya wananchi wake wa Al-Awamiyah kwa kuwalazimisha wakazi wake kuacha majumba yao na kuacha mji huo na kwenda sehemu nyingine.

Shiriika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: wakazi wa mji wa Al-Awamiyah nchini Saudi Arabia wamelazimishwa kuondoka sehemu hiyo kwenda sehemu nyingine na kama watataka kubaki kwa amani nchini humo, la si hivyo wataendelea kuwashambulia kwa makombora na kuwazingira kijeshi kama hawatatoka sehemu hiyo.

Viongozi wa usalama wa nchi hiyo wamewataka wakazi wa mataifa mengine wanaoishi sehemu hiyo kuondoka katika mji huo haraka iwezekanavyo, hii ni katika hali ambayo ni muda sasa huduma za umemem zimekatwa katika mji huo.

Wananharakati wa Al-Awamiayah wametangaza kuwa: majeshi ya Saudi Arabia yamezingira mji huo katika kila pande ambapo kila upande kumewekwa kikosi maalumu na makao makuu ya mji huo.

Viongozi wa Saudi Arabia wamepanga mpango maalumu wa kuangamiza baadhi ya maeneo ya sehemu hiyo, hususan sehemu ya mji wa zamani katika mtaa wa Almusawarah nchini Saudi Arabia.

mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Quds cartoon 2018
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky