Wananchi wa Iran waandamana katika kukabiliana na mamluki waliofanya vurugu dhidi ya serikali-1

Wananchi wa Iran waandamana katika kukabiliana na mamluki waliofanya vurugu dhidi ya serikali-1

kufuatia kutoa vurugu katika baadhi ya maene nchini Iran, ambapo baadhi ya vijana waliandamana wakidai ugumu wa hali ya uchumi, kulionekana kutokea baadhi ya watu ambao walitumia fursa hiyo kufanya vurugu na kuharibu mali za uma, katika kukabiliana na vurugu hizo, wananchi wa mji wa Kashani wamefanya maandamano makubwa kupinga kitendo hicho na kuonyesha utiifu wao kwa viongozi wao


shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: kufuatia kutoa vurugu katika baadhi ya maene nchini Iran, ambapo baadhi ya vijana waliandamana wakidai ugumu wa hali ya uchumi, kulionekana kutokea baadhi ya watu ambao walitumia fursa hiyo kufanya vurugu na kuharibu mali za uma, katika kukabiliana na vurugu hizo, wananchi wa mji wa Kashani wamefanya maandamano makubwa kupinga kitendo hicho na kuonyesha utiifu wao kwa viongozi wao.

Madui wa Iran ikiwemo Marekani Israel na Saudi Arabia wameonekana kuwa na furaha kubwa kufuatia kutokea kwa vurugu hizi.

Kwaajili ya kukabiliana na tukio hili la kinyume na sheria wananchi wa Iran kwa mara nyingine wamefanya maandamano makubwa ya kukabiliana na vitendo hivyo ikiwemo kupinga madai ya wale walikuwa wamefanya vurugu hizo.

Idadi kubwa ya wananchi wa mji wa Kashani wameandamana alasiri ya Jumapili ambapo walitangaza kwa wazi kumuunga mkono kwako kiongozi muadhamu wa mapinduzi ya kiislamu ya Iran na serikali ya jamhuri ya kiislamu ya Iran dhidi ya wafanya vurugu hizo. kama inavyoonyesha katika video ya hapo juu


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky