Watu 3 wa familia ya kifalme nchini Saudia wauwawa baada ya mashambulio ya silaha

Watu 3 wa familia ya kifalme nchini Saudia wauwawa baada ya mashambulio ya silaha

Vyombo vya habari mbali mbali vyatangaza kutoke kwa mashambulizi makali yakutumia silaha za moto katika mji mkuu wa Saudi Arabia Riyadh

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: shirika la habri la Lebanon (Al-ahad) imetanga mashambulio ya silaha yaliotokea nchini Saudi Arabia.
Kufuatia mashambulio na mapambono hayo yaliotokea katika jela ya Hairiy iliopo katika mji wa Riyadh, imepelekea kuuwawa kwa watu watatu kutoka katika familia ya kifalme nchini Saudia pamoja na wafungwa wengine 7 katika tukio hilo.
Kwa mujibu wa ripoti hii baada ya kutokea tukio na mapigano hayo, barabara inayopita katika jela hiyo imefungwa na idadi kubwa ya majeshi ya usalama ya Riyadh yamemwagwa katika maeneo hayo.
Hivi karibuni watu 11 kutoka katika familia ya kifalme ambao walikuwa wameonyeshwa na kuto ridhishwa  na maamuzi ya mfalme Salmani, walikamatwa na kufungwa katika jela ya Hairiy ambayo leo ndio yametokea mapigano hayo.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky