Watu 45 wauwawa na 49 kujeruhiwa kufuati mripuko wa bomu katika mji wa Baghdad

Watu 45 wauwawa na 49 kujeruhiwa kufuati mripuko wa bomu katika mji wa Baghdad

Mripuko mkubwa wa kigaidi watokea mjni Baghdad nchini Iraq na kusababisha vifo vya watu 45 na wengine 49 kujeruhiwa nchini humo

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: mripuko huo wa kigaidi umetokea baada ya gari liliokuwa limetegwa bomu kuripuka sehemu ya Al-Bayaa kusini mwa mji wa Baghadad nchini Iraq, ambapo kwa mujibu wa ripote za awali zinaonyesha kuwa watu 45 na wengine 49 kujeruhiwa kufuatia mripuko huo.
Kikundi cha kigaidi cha Daesh kimetangaza kuwa ndio kilichokuwa kimepanga shambulio hilo liliofanyika katika sehemu ya Al-bayaa kusini mwa mji wa Baghdad Iraq.
Mripuko huo ulitokea siku ya Alhamisi uliotokea karibu na maonyesho ya magari mjini Baghdad, ambapo ripoti za pili za mripuko huo zinasema kuwa watu waliofariki wamefika idadi ya watu 51 huku ikiripotiwa kuwa majeruhi wa tukio hilo ni 70.
Mripuko huo unahisabiwa kuwa ndio mripuko mkubwa uliotokea mwaka 2017 na kuuwa watu wengi zaidi toka kuanzia kwa mwaka huu.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky