Waziri mkuu wa Iraq atoa tahadhari kuhusu hatari ya kikundi cha Daesh

Waziri mkuu wa Iraq atoa tahadhari kuhusu hatari ya kikundi cha Daesh

Waziri mkuu wa Iraq Haidar Al-abadiy ametoa tahadhari kunako hatari ya kikundi cha kigaidi cha Daesh katika ukanda wa mashariki ya kati na ulimwengu kwa ujumla

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: hayo yamesemwa na Haidar Al-abadiy “waziri mkuu wa na amiri jeshi mkuu wa majeshi ya Iraq: tuko tayari kukabiliana na mashambulizi ya Daesh sehemu yeyote tunaweza kupeleka majeshi yetu, kama italazimika tunaweza tukatuma majeshi hata ndani ya tauifa la Syria kama itahitajika.
Aidha amesema: natoa tahyadhari yakwamba kikundi cha kigaidi cha Daesh ni tishio katika ukanda wa mashariki ya kati hata ulimwenguni kote, ambapo kikundi hicho kinatishia hata mustakabali wa amani ya bara la Ulaya.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Arba'een
Mourining of Imam Hossein
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky