Waziri mkuu wa Japan kuizuru Tehran

Waziri mkuu wa Japan kuizuru Tehran

Waziri mkuu wa Japan baada ya siku kadhaa atawasili mjini Tehran hatimaye kuonana na Rais wa jamhuri ya Kiislamu ya Iran

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: vyanzo vya kiserikali nchini Japan vimetangaza kuwa waziri mkuu wa nchi hiyo mnamo mwezi Juni atafika nchini Iran kwaajili ya kufanya mazungumzo na viongozi wa Iran ikiwemo Rais wa nchi hiyo.
Iwapo waziriri huyo atabahatika kufika mjini Tehran, ndio itakuwa safari ya kwanza ya waziri mkuu wa Japan kufika nchini humo baada ya kupita miaka 40.
Kabla ya hapo waziri mkuu huyo aliwahi kukutana na  Rais wa jamhuri ya Kiislamu ya Iran mwezi wa tisa mwaka 2017 baada ya kushiriki  kwao  katika cha mwaka cha umoja wa mataifa mjini New York Marekani.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky