Waziri wa mabo ya ndani wa Ujurumani:Uislamu hauna nafasi nchini humo

 Waziri wa mabo ya ndani wa Ujurumani:Uislamu hauna nafasi nchini humo

Waziri mpya wa mambo ya ndani nchini Ujerumani ametangaza katika mazungumzo yake kuwa dini ya Uislamu haina nafasi na haitakiwe nchini Ujerumani

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: waziri moya wa mambo ya ndani nchini Ujerumani amesema katika maelezo yake ya kukabiliana na Uislamu kuwa: Uislam hauna asili nchini Ujerumani na hautakiwi nchini humo.
Waziri mpya wa mambo ya ndani nchini Ujerumani ambaye anaonekana anamitazamo ya kibaguzi hususan dhidi ya wakimbizi nchini humo, amesema alipokuwa anahojiwa na gazeti la kijerumani la “Bild” akibainisha kuwa: ama kuhusu waislamu ambayo wanaishi nchini humo, hatuna budi kuwakubali kuwa wanahusika na Ujeruman.
Aidha amesisitiza kuwa: nchi hiyo haipaswi kuacha tamaduni na mila za taifa hilo, na ujumbe maalumu kwa waislamu, kuwa wanapaswa kuishi kama tunavyoishi sisi na si kuishi kinyume na maisha yetu au kuwa dhidi yetu.
Waziri huyo ameapishwa masiku kadhaa yaliopita kwa anuani kuwa ni waziri wa mambo ya ndani wa nchi hiyo.   
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky