Waziri wa ulinzi nchini Israel: wakazi wote wa Gaza wote ni waovu

 Waziri wa ulinzi nchini Israel: wakazi wote wa Gaza wote ni waovu

Waziri wa ulinzi na usalama wa utawala wa kizayuni wa Israel amesema: hakuna yeyote anaekaa katika ukanda wa Gaza isipokuwa ni muovu, kwa sababu kuwa mji wa Gaza unaendeshwa na kikundi cha Hamasi

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: wazii wa ulinzi na usalama wa utawala haramu wa Israel, baada yasiku kumi mfululizo za kuwauwa wananchi wa Palestina amesema kuwa, wakazi wote waliopo katika ukanda wa Gaza wanajinai na watu wasiofai kwakuwa maeneo hayo yanaendeshwa na kikundi cha Hamsi ambacho ndio kikundi mashuhuri kinachopinga utawala wa kizayuni.
Aidha ameongeza kusema kuwa, wakazi wote wanaokaa katika ukanda wa Gaza wanamahusiano makubwa na kikundi cha Hamasi ambapo hupewa mishahara na kikundi hicho, watu ambao hufanya juhudi kubwa katika kuishambulia Israel kwaajili ya kufuta mipaka ya Israel.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky