Wizara ya ulinzi na usalama nchini Iraq yatangaza kukombolewa mji wa Tal Afar

Wizara ya ulinzi na usalama nchini Iraq yatangaza kukombolewa mji wa Tal Afar

Kamanda wa mashambulizi ya kuukomboa mji wa Tal Afar uliopo katika mkoa wa Nineveh: amesema kwamba kutoka na kukamilisha kuyakomboa maeneo yalikuwa yamebaki chini ya kikundi cha kigaidi cha Daesh katika mji wa Tal Afar, ndio kumekamilisha ukomboaji wa mji huo katika kila pande zake

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: wizra ya ulinzi na usalama nchini Iraq leo tarehe 27, imetangaza rasmi ukomboaji wa mji wa Tal Afar kutoka mikononi mwa kikundi cha kigaidi cha Daesh.
Kanali “Abdulamiri Rashidi Yarallah” ambaye ndiye kamanda wa mashambulizi ya kuikomboa Tal Afar ameeleza katika mazungumzo yake katika televishini ya Taifa hilo kunako kukamilika kukombolewa kwa mji wa Tal Afar.
Aidha alibainisha kwa kusema: majeshi ya shirikisho ya Iraq yamefanikiwa kukomboa sehemu za “Al-askariy” na “ Asinatu Shumaliyah” na kiji cha Arrahmah kiliopo kaskazini mwa mashariki mwa Tal Afar, hivyo basi kwakukombolewa sehemu hizi ndio inakamilika kukombolewa kwa mji wote wa Tal Afar.
Mwishi alikamilisha mazungumzo yake kwa kusema kuwa, kikundi cha kigaidi cha Daesh wapo sehemu ndogo ya Al-iyadhiyah na vijiji viliozunguka sehemu hiyo, ambapo hivi sasa ndio kuna mapambano baina ya kikundi hicho na majeshi ya Iraq.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky