Zaidi ya asilimia 98 ya maeneo ya Syria yaliokuwa chini ya magaidi yakombolewa

Wizara ya ulinzi nchini Urusi ametangaza kuwa: zaidi ya asilimia 98 ya maeneo ambayo yalikuwa chini ya kikundi cha kigadi cha Daesh nchini Syria yamekombolewa na kuingia chini ya utawala wa serikali ya Syria

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: Wizara ya ulinzi ya Urusi imetoa habari ya mashambulizi ya ndege zake za kivita katika maeneo ya vikundi vya kigaidi  nchini Syria ambapo kufuatia mashambulio hayo mpaka sasa zidi ya aslilimia 98  ya maeneo yaliokuwa chini ya vikundi hivyo yamekombolewa.
Wizara hiyo imeendelea kusema kuwa ndege za kivita za Urusi zimeshambulia maeneo zaidi ya sehemu 1320 za magaidi kwa muda wa wiki na kuwaangamiza magaidi hao katika sehemu hizo.
Kwa mujibu wa ripoti ya gazeti la Serikali ya Urusi ni kwamba ndege za kivita za Urusi wiki moja ziruka zaidi ya mara 500 katika anga la Syria na kushambulia sehemu za magaidi hao.
Ama siku ya jana yaliangusha mabomu katika sehemu waliopo magaidi wa kikundi cha Daesh Deir ez-Zor nchini Syria na kusababisha hasara kubwa kwa magaidi hao nchini humo.
mwisho/290

Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Arba'een
Mourining of Imam Hossein
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky