Zarif: madai ya Marekani dhidi ya Iran ni yaleyale ya zamani

Zarif: madai ya Marekani dhidi ya Iran ni yaleyale ya zamani

Waziri wa mambo ya nje wa Iran amesema hayo alipokuwa anafanya mahojiano katika Televishen ya PBS nakusema kuwa: madai ya Marekani dhidi ya serikali ya Kiislamu ya Iran ni mambo yaleyale yazamani na hakuna jambo lolote jipya

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: “Muhammad Javad Zarif” ambaye ni waziri wa mambo ya nje wa Iran ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na Televishen ya (PBS) nakusema kuwa madai ya serikali ya Marekani dhid i ya serikali ya Iran si mapya na yaleyale ya zamani.
Aidha katika mahojiano hayo aliulizwa na mwendesha mazungumzo hayo kuwa: kwa masikitiko makubwa nadhani serikali ya Marekana muda mrefu sasa inaendeleza siasa zake za uadui dhidi ya Iran na bado inaenedelea kupanga mikakati ya uadui zaidi kuliko ya zamani.
Aidha aliendelea kumuuliza waziri wa mambo ya nje ya Iran kuwa: madai yanayotlewa na Marekani dhidi ya Iran inadaiwa kuwa si madai mapya na hayana ukweli wowowte!
Katika kufafanua mae\swali hayo, waziri wa mambo ya nje wa Iran akasema: serikali ya Marekani inapaswa kuangalia tija ya walioifikia kutokana na mienendo yake katika ukanda wa mashariki ya kati.
Aidha ameongeza kusema kuwa: serikali ya Marekani pamoja ianendelea kutengeza mipango yake michafu dhidi ya Iran pamoja na washirika wake, ama kama walivyokuwa wameshindwa katika mipango mingine waliokuwa wameipanga katika ukanda wa mashariki ya kati, bilasha katika hili nalo watashindwa.

mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky