Jaji wa kimataifa wa mashindano ya Qur`an azuiliwa kusafiri kwenda Iran

  • Habari NO : 837845
  • Rejea : ABNA
Brief

Serikali ya Misri imemzuia jaji wa kimataifa wa mashindano ya Q ur`an azuiliwa kwenda katika jamhuri ya kiislamu ya Iran kusimamia mashndano ya Qur`an nchini humo.

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: uwanja wa ndege wa Misri umefanya tukio ambalo limeacha swali katika vichwa i watu, baada ya “Sheikh Twaha Abdulwahabi” jaji wa kimataifa wa mashindano ya Qur`an wa nchi hiyo kuzuiliwa kwenda nchini kwa kile kilichodaiwa kuwa hana kibali cha usalama kinachomruhusu kutoka katika nchi hiyo.
Sheikh Twaha Abdulwahabi alikuwa anasafiri kwenda kusimamia mashindano ya Qur`an ya nusu fainali yaliokuwa na anuani ya (Innal mutaqina mafaza) ambayo husimamiwa katika televishen ya Kawthar, ambapo alipaswa atumie njia ya Misri mpaka Dubai hata kufika Iran, ndipo akazuiliwa na viongozi wa uwanja wa ndege wa Misr.

mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky