Magaidi 23 wa Al-Shabb wafa na kujeruhiwa nchini Somalia

Magaidi 23 wa Al-Shabb wafa na kujeruhiwa nchini Somalia

Majehi ya Somalia yamefanya mashambulizi katika ngome ya kikundi cha kigaidi cha Al-shaba kaskazini mwa mji wa Kismayu ambapo kufuatia shambulio hilo magaidi 13 wameangamia na wengine 10 kujeruhiwa nchini humo

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: msemaji mkuu wa jeshi la Somalia ametangaza kuwa: shambulio hilo limefanywa na majeshi ya nchi hiyo kwa kushambulia ngome yao iliokuwa kaskazini mwa mji wa Kismayu nchini Somalia.
Aidha ameongeza kusema kuwa: shambulio hilo limefanywa baada ya kufanya uchunguzi mkubwa uliopelekea kufahamu na kugundua ngome hiyo, ambapo baadae ndipo walifanya shambulio hilo.
Inasemekana kwamba kikundi cha kigaid cha Al-Shabab ni katika vikundi vya kikatili vilikuwa vinavya jinai dhidi watu wasiokuwa na nchini Somalia, ambapo mnamo mwaka 2012 walifanikiwa kuyateka maeneo makubwa ya nch i hiyo hata h ufikia hatua ya kutishia usalama wa nchi hiyo na mataifa yaliokuwa jirani na Somalia hususan nchi ya Kenya.
mwishi/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Quds cartoon 2018
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky