Makamanda kadhaa wa Daesh wajisalimisha kwa majeshi ya Misri

Makamanda kadhaa wa Daesh wajisalimisha kwa majeshi ya Misri

Makamanda kadhaa wa kikundi cha kigaidi cha Daesh wajisalimisha katika vyombo vya usalama nchini Misri katika jangwa la Sinai

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: vyanzo vya habari makini katika umoja wa makabila katika jangwa la Sinai ametangaza kuwa makanda kadhaa wa kikundi cha kigaidi cha Daesh katika mji wa Rafah nchini Misri wamejisalimisha katika vyombo vya usalama vya kaskazini mwa jangwa la Sinai nchini humo.
Umoaja wa makabila ya Sinai ambao wako karibu sana na vyombo vya usalama vya Misri katika jwangwa Sinai, wamekuwa msatari wa mbele wakishirikiana na vyombo vya usalama kwa pamoja wakipambana na vikundi vya kigaidi katika sehemu hiyo.
Hayo yameandikwa na Gazeti la “Al-hayat” likinukuu kutoka kwa baadhi yaviongozi wa makabila kwamba watu watu watatu katika viongozi wa kikundi cha kigaidi cha Daesh wamejisalimisha katika vyombo vya Usalama nchini humo, ambapo ni moja miongoni mwa hatua kubwa kufikiwa katika semehu hiyo.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Quds cartoon 2018
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky