Iran yarusha Ndege ya kwanza ya kivita

Iran yarusha Ndege ya kwanza ya kivita

Majeshi ya ulinzi na usalama ya Iran wamefanikiwa kurusha ndege ya kwanza ya kivita inayoitwa “Kawthar” ambapo ndege hiyo ilirushwa kwa amri ya Rais wa jamhuri ya kiislamu ya Iran Hasan Rohani

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: hayo yalifanyika katika maadhimisho ya siku ya kutengeza vifaa vya ulinzi nchini humo, iliohudhuriwa na Rais wa jamhuri ya kiislamu ya Iran.
Pamoja na kuanza kwa sherehe hizo ilirushwa ndege ya kwanza ya kivata iliotengezwa na Wairan kwa amri ya rais wa jamhuri ya kiislamu ya Iran Hasan Rohani.
http://fa.abna24.com/upload/image/2018/08/21/f3ccdd27d2000e3f9255a7e3e2c48800_907.jpg
Ndege hiyo imetengenezwa kwa ufanisi mkubwa wa kuipata shabaha na kukwepa inapo shambuliwa ikisaidiwa na sistimu ya kompiuta nk.
Rais wa jamhuri ya kiislamu ya Iran amesema katika sherehe hizo kuwa iliishukuru wizara ya ulinzi na uslama kwa kuandaa maonyesho ya vifaa vya kivita vilivyozalishwa na wizara hiyo.  

mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky