Waziri wa mambo ya nje wa Iran asafiri kwenda nchini Afghanistan

Waziri wa mambo ya nje wa Iran asafiri kwenda nchini Afghanistan

Waziri wa mambo ya nje wa Jamhuri ya kiislamu ya Iran kesho atakwenda nchini Afghanistan kuitika wito wa waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo, ambapo safari hiyo itakuwa siku ya Jumapili asubuhi naye ambaye ataambatana na jopo lake la kisiasa

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: hayao yamesemwa na Bahram Qasimi (msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran) kuwa: Muhmmad Jawadi Zarifu (waziri wa mambo ya nje wa jamhuri ya Kiisalmu ya Iran) kesho atasafiri kwenda nchini Afghanistan, asubihi ya Jumapili akiwa na akifuatana na jopo lake la kisiasa nchini humo.
Aidha Bahram Qasimi ameongeza kusema kuwa: katika safai hiyo pamoja yakuwa wataonana na Sahu Dini Rabani waziri wa mambo ya nje nchini Afghanistan, pia ataonana na Ashraf Ghani “Rais wa jamhuri ya Afghanistan” na viongozi wengine wakuu wa nchi hiyo, matarajio ni kwamba katika safari hiyo watazungumzia uhusiano wa mataifa hayo mawili na kunawirisha fungamano hilo, na watanzungumzia hali ya usalama wa ukanda wa mashariki ya kati na ulimwenguni kwa ujumla.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky