Bomu laripuka karibu na ofisi ya umoja wa mataifa nchini Italia +picha

Bomu laripuka karibu na ofisi ya umoja wa mataifa nchini Italia +picha

Mripuko wa bomu latokea karibu na ofisi ya jumuia ya umoja wa mataifa nchini Italia

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: vyombo vya habari vya Italia siku ya Ijumaa vyatangaza kutokea mripuko wa bomu, uliotokea karibu na Ofisi ya jumuia ya umoja wa mataifa katika mji mkuu wa nchi hiyo (Roma) huku bomu lingine laonekana katika sehemu baada ya kutokea mripuko huo.
Gaziti la nchi hiyo la “La Repubblica” limeandika kuwa : mabomu hayo mawili yalionekana katika gari liliokuwa limegeshwa katika maeneo ya Paki ya ofisi ya Posta iliopo karibu na ofisi ya jumuia ya umoja wa mataifa nchini Italia.
Gazeti hilo la Italia limeongeza kusema kuwa: ripoti za awali zinaonyesha kwamba, mripuko huo umesababisha kuharibika kwa gari moja ambalo lilikuwa sehemu hiyo, huku vymbo vya habari vingine vinaashiria kuwa katika sehemu hiyo pia limegunduliwa bomu kabla ya kuripuka.
Vyombo vya habari vya Italia vimetangaza kuwa mpaka sasa  hakuna ripoti inayoashiria kuto kuathirika kwa mtu yeyote katika mripuko huo, huku ikisemekana kuwa kipindi unatokea mripoko huo, katika sehemu hiyo ilikuwa na watu wengi.
Aidha vyombo vya habari vya Uingereza vinaandika kuwa mripuko huo umetokea kwa siku moja baada ya kikao cha mtoto wa mfalme Charles kufanya nchini humo.


mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky