Kambuni za China na Urusi zawekewa vikwazo na Marekani

Kambuni za China na Urusi zawekewa vikwazo na Marekani

Serikali ya Marekani imepanga kuviwekea vikwazo baadhi ya kampuni za Urusi na China kwakile kilichotajwa kuwa vimesaidia kufanikisha mpango wa nyuklia wa Korea ya kaskazini

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: Hii inajiri baada ya baraza la ulinzi la Umoja wa Mataifa, zikiwemo Urusi na China kupiga kura ya kuzidishiwa vikwazo taifa huru la Korea Kaskazini.
Hayo yameelezwa na Wizara ya fedha nchini Marekani na kusisitiza kuwa vikwazo hivyo vitashadidisha  shinikizo kwa Korea Kaskazini, kitu ambacho kimepingwa vikali  na serikali ya China na Urusi.
Hii ni katika hali ambayo waziri wa mashauri ya nchi za kigeni nchini Marekani “Rex Tilleron” ameipongeza Korea ya Kaskazini kwa kujizuia siku za hivi karibuni kufanya mashambulio dhidi ya Marekani.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Quds cartoon 2018
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky