Maandamano dhidi ya utawala Saudi Arabia mjini London

Maandamano dhidi ya utawala Saudi Arabia mjini London

Waandamanaji hao walioandamana dhidi ya utawala wa Saudi Arabia, wameitaka Saudi Arabia kusitisha vita dhidi ya Yemen na kuacha kuwahujumu wananchi wa Bahrain

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: idadi kadhaa ya wanaharakati wa masuala ya kishiria na kijamii wamekusanyika katika ubalozi wa Saudi Arabia mjini Longdon mji mkuu wa Uengireza na kukosoa siasa zinazotumika katika utawala wa Saudi Arabia.
Waandamanaji hao wakiashiria nafasi ya Saudi Arabia katika machafuko yaliopo dhidi ya wananchi wa Bahrain toka kuanzia mwaka 2011 mpaka sasa, huku wakisisitiza kusitisha kuendeleza dhidi ya wananchi wa Yemen huku wakiashiria kuwa, taifa la Yemen na wananchi wake wanaweza kutatua matatizo ya taifa lao bila ya kuingiliwa na mataifa mengine ikiwemo Saudi Arabia.
Waandamanaji hao wamekemea jumuia za kimataifa kwakuwa kwao kimya kunako mauaji ya yanayofanyika nchi Yemen yanayofanya na uatawala wa Saudi Arabia, huku wakimalizia kwa kusema kuwa kukaa kimya kwa vyombo vya Umoja wa mataifa inaashiria kuwa jumuia hizo zinachangia kutokea kawa mauaji hayo.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky