Msemaji wa kamati ya Ulaya: umoja wa Ulaya utaendelea kuhifadhi makubaliano ya Nyuklia

Msemaji wa kamati ya Ulaya: umoja wa Ulaya utaendelea kuhifadhi makubaliano ya Nyuklia

Msemaji wa kamati ya Umoja wa Ulaya kufuatia hatua iliochukuliwa na serikali ya Marekani dhidi ya Iran amesema: Umoja wa Ulaya utaendelea kushikamana na kuhifadhi makubaliano ya Nyuklia

Shirika la habari AhluLbayt (a.s) ABNA: aidha msemaji huyo amebainisha kuwa Umoja wa Ulaya utaendelea kushikamana na kuhifadhi makubaliano ya mpango wa Nyuklia wa Iran.
Akibainisha sulala hili amesema kuwa: makubaliano ya mpango wa Nyuklia wa Iran katika azimio la 2231 liliopitishwa katika balaza la usalama la Umoja wa Mataifa, Umoja wa Ulaya katika azimio hilo  ni kushikamana na azimio hilo, ambapo madamu Iran itatekeleza makubaliano ya azimio hilo, Umoja wa Ulaya utaendelea kushikamana na makubaliano ya mpango wa Nyuklia wa Iran.
Hii ni katika hali ambayo serikali ya Marekani imeweka vikwazo vya upande mmoja dhidi ya Iran ikiwa ni kinyume na azimio la 2231 liliopitishwa na balaza usalama la Umoja wa Mataifa.


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

We are All Zakzaky