Mtu mmoja ashambulia watu 8 kwa kisu kaskazini mwa Urusi+ picha

Mtu mmoja ashambulia watu 8 kwa kisu kaskazini mwa Urusi+ picha

Mtu mmoja katika mji wa Surgut kaskazini mwa Urusi amewashambulia watu wanane kwa kikusi na kuwajeruhi vibaya

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: viongozi wa Urusi wamesema kuwa mtu mmoja katika mji wa Surgut amewashambulia watu wanane kwa kisu nakuwajeruhi vibaya.
Kwa mujibu wa ripoti hii mshambuliaji alikuwa akipita katika njia ya wanaopita kwa miguu katikati ya mji huo, ndipo akaanza kuwashambulia watu wanaopita sehemu hiyo, ambapo jeshi la liliwasili sehemu hiyo na kumpiga risasi hatimaye kufariki papohapo.
Kwa mujibu wa shirika la habari la Sputnik likinukuu kutoka kwa tume ya uhakiki ya mahakama ya Urusi imeandika kwamba: mshambuliaji huyo alipotaka kukamatwa na Polisi alionesha kukabiliana nao ndipo jeshi hilo likamfyatulia risasi mtu huyo hatimaye kufariki hapohapo, huku majeruhi waliojeruhiwa katika tukio hilo walikimbizwa Hospitali kwaajili ya matibabu.   

mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Quds cartoon 2018
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky